Tuesday, 20 October 2015

»EMPIRE YARUDI MSIMU WA PILI KWA KISHINDO

»EMPIRE YARUDI MSIMU WA PILI KWA KISHINDO

Posted on Tuesday 20th / Oct 2015 06:17:40 PM
Ile tv series maarufu nchini Marekani Empire imerudi tena kwa msimu wa pili kwa kishindo kikubwa .Series hiyo yenye waigizaji nguli akiwemo Taraji P Henson maarufu kama Cockie pamoja na Terece Howard .
Msimu wa pili umeanza tarehe 23 mwezi wa 9 mwaka 2015 ambapo imepata ratings za watazamaji million 16 kwa usiku mmoja pekee na kuifanya kuwa series ambayo imetazamwa na watu wengi sana mwaka huu.

No comments:

Post a Comment