CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Songea Mjini Mkoani Ruvuma,
kuibuka mshindi wa kiti cha ubunge baada ya kuhesabu kura mara mbili
mara baada ya zoezi hilo kuingia dosari na kumfanya mgombea wa chama
hicho, Leonidas Gama, kutangazwa mshindi na Msimamizi wa Uchaguzi wa
Jimbo hilo.
Kwa mujibu wa Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Jimbo hilo, Rafael Kimari,
amemtangaza mgombea huyo na kwamba katika kinyang'anyiro hicho kulikuwa
na vyama vitatu ambavyo vilisimamisha wagombea kikiwemo chama cha ACT
Wazalendo,CCM na Chama Cha Demokrasia (Chadema).
Kimari amekaririwa akimtangaza, Gama, kuwa mshindi kwa kupata kura 40,886 na kufuatiwa na
mgombea wa Chadema, Joseph Fuime, aliyepata 37,000 na mgombea wa ACT
Wazalendo, Emmanuel Msabila ambaye alipata kura 436.
Aidha, amesema kuwa katika jimbo hilo idadi ya watu waliojiandikisha
walikuwa ni wapigakura 127,738. Jimbo hilo lina Kata 21 na kati ya hizo
CCM kimefanikiwa kushinda Kata 16 , Chadema kikifanikiwa kushinda Kata 4
na Chama Cha Wananchi CUF kikishinda Kata 1.
Awali kabla ya kutangazwa matokeo hayo ya nafasi ya Ubunge wananchi
walijitokeza kwa wingi kwenye viunga vya Halmashauri ya Manispaa ya hiyo
ya Songea kwa lengo la kupata matokeo ambayo yalitakiwa kutangazwa
majira ya saa tano asubuhi mpaka saa sita mchana kushindikana na
kusababisha Jeshi la Polisi kuwataka wananchi waweza kutawanyika na wao
kukaidi na kusababisha Polisi kutumia nguvu ya ziada kwa kuwapiga
mabomu ya machozi ili kuwatawanya.
Hata hivyo, kuanzia majira ya saa nane mchana, barabara kadhaa za
manispaa hiyo zilifungwa na Jeshi la Polisi kutoa amri ya kufunga maduka
na biashara zote hali ambayo ilisababisha taharuki kwa wakazi wa
Manispaa ya Songea.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Mihayo Msikhela, amesema kuwa
wafuasi wa Chadema walivumiliwa kwa muda mrefu wakifanya fujo na
kuranda randa katikatika ya mji wakishinikiza matokeo yatangazwe bila
kufuata utaratibu hali ambayo iliwalazimu askari kutumia mabomu
kuwatanya na kupisha kutangazwa kwa matokeo hayo.
Matokeo mengine ya awali ya uchaguzi mkuu.
Jinsi ya kufanya Biashara yako iwavutie Watu wengi
Posted By
UHAI wa biashara yeyote uko mikononi mwa mteja, biashara ni watu, watu
wakikosekana kwenye biashara, hufa, hivyo ni vyema Mfanyabiashara
akatambua umuhimu na thamani ya mteja kwenye biashara yake.
Wako wafanyabiashara wanaowahudumia wateja wao kama wanavyotaka na sio
kama wateja wanavyotaka hii ni hatari sana inayoweza kukufukuzia wateja
na kuathiri biashara.
"Mteja ni mfalme" ni msemo ambao umezoeleka na una maana kubwa, kuna
wafanyabiashara wamekuwa wafalme kwenye biashara zao halafu wateja ndo
watumwa unakuta wanaongea vibaya na wateja wao, anawakaripia na
kuwagombeza wanasahau kuwa mteja hakosei ndio maana mteja anaitwa
mfalme.
Siku zote mfanyabiashara anapaswa kuzingatia mahitaji ya wateja,
matakwa yao pamoja na matamanio ya mteja ili kuweza kuwavutia wateja
wengi na kulishinda soko la biashara lililojaa ushindani.
Wafanyabiashara waliogundua siri hiyo wamepiga hatua kubwa kiuchumi na
kufanikiwa kuwateka wateja wengi na kutengeneza faida kubwa katika
biashara zao kutoa huduma bora kwa wateja inayowafanya wateja waridhike
na wafurahie huduma ama bidhaa wanazouziwa. Matokeo yake wameliteka soko
kwa ubora wa bidhaa zao, ubunifu na huduma bora kwa wateja wao.
Tumeshuhudia wafanyabiasha wengi wakifanya biashara kimazoea miaka
nenda rudi bila ya kuwa na maboresho,ubunifu.Wengine wanawaona wateja
kama wasumbuaji hawawajali,wanatumia kauli mbaya, hawayafahamu kiundani
matamanio wala mahitajio ya wateja na namna ya kutoa huduma bora kwa
mteja.
Kwa ujumla hawatumii kanuni za kisayansi za kufanya biashara wengi wao
mambo huwaendea mrama na kujikuta wakipata hasara mara kwa mara.
Yapo mambo matano unayoweza kuyatumia kuwavutia wateja katika
biashara yako na kukufanya ufanikiwe katika biashara, mambo hayo ni
pamoja na;
Lugha nzuri inayoambatana na tabasamu. Hiki ni kivutio kikubwa cha
wateja wanapokuja kwenye biashara yako na kitamfanya arudi ama aje mara
kwa mara ndio maana hata wewe msomaji
unachagua kutumia sehemu yenye huduma inayokuridhisha, kuna watu
wamefanikiwa kibiashara na kimaisha kutokana na kauli zao nzuri.Hivyo
utakubaliana nami kuwa "kauli ni mali" na "ofisi ya kwanza ya mtu ni
mdomo wake".
Tabasamu na kauli nzuri humfanya mteja kumuona mfanyabiashara kama rafiki yake na kufanya urahisi wa biashara yako.
Mfano unaweza kwenda sehemu watu wanauza chakula mhudumu amenuna au
anaongea vibaya. Hata mafundi wengi wametawaliwa na uongo na ahadi
wasizozitimiza,haya ni mambo yanayoweza kumkimbiza mteja.
Kama unavyojua mteja mmoja akihudumiwa vibaya huwaaambia wenzake 15,
hao 15 huwaambia wenzao kila mmoja watu 6. Baada ya Muda wateja
wanapungua ghafla unakosa kabisa na kuanza kufikiri kuwa umelogwa
unaanza kukimbilia kwa waganga na wakati umejiloga wewe mwenyewe na
ulimi wako. Lugha nzuri inamfanya mhudumu avutie wateja na kuonekana
vizuri.
Mazingira masafi na bora ni jambo la pili linalowavutia wateja na
kufanikisha bishara,mazingira safi na bora ni jinsi biashara yako
inavyoonekana kwa nje mpaka ndani, vifaa vyake na vifaa vinavyotumika
kama nyezo.
Mfano unakuta mgahawa mbele yake kuna dibwi la maji machafu, vifaa kama
jiko, sahani, bakuli ni vichafu na chakavu, hali kama hii haimvutii
mteja.
Jambo la tatu Muhudumu awe msafi unakuta muhudumu anahudumia ana plasta
mkononi, amevaa kanda mbili, nguo chafu yaani amevaa zile sare nyeupe
za wapishi zimechafuka, zimebadilika rangi na kuwa kahawia.
Mteja anategemea kumkuta mhudumu msafi vitu hivyo vinawakera wateja
hata kabla ya kuhudumiwa. Mteja anategemea kukutana na mhudumu msafi,
mfano wahudumu wa ndege.
Mteja anatarajia kuhudumiwa kwa wakati. Mteja akifika eneo husika,
muhudumu amfuate na kumhoji angependa ahudumiwe nini? Baadhi ya sehemu
nyingine si ajabu kukaa muda mrefu bila kupata mtu wa kukuhudumia na
wahudumu wapo.
Hakikisha unampa mteja zaidi ya kile alichotarajia kupata kutoka kwako
nina maana kumpa mteja kitu cha ziada Mmano kwenye mgahawa mtu akinunua
chakula unamuongezea vitu kama matunda, kachumbari na maji bila kumtoza
gharama, wateja wengi ni watu wa kusema sema kauli zao zina matokeo hasi
ama chanya kutokana na ulivyomhudumia.
Sehemu nyingine ukienda hotelini kabla ya kuhudumiwa unapewa juisi
ambayo hauilipii lakini madhara ya juisi hiyo ni makubwa. Ni rahisi kwa
wateja kuwa waaminifu kwa biashara zenye mazingira kama hayo.
Wiki ijayo tutajifunza aina za wateja na jinsi ya kuwahudumia ili
kuweza kupata wateja wengi na kufanikiwa kuwateka kwa wingi na
kufanikiwa kibiashara.
Posted by floryandavinc.blogspot.com on Tuesday, October 27, 2015
Jimbo
la Bagamoyo: Dk Shukuru Kawambwa (CCM) 26,434, Andrew Kasambala (CUF)
16,330, Mwamini Saidi (UMD) 418 na Saidi Athman (ACT Wazalendo) 418. Jimbo
la Ngara: Alex Gashaza (CCM) 53,387, Dk Bujari Simon (Chadema) 35,254,
Helen Gozi (NCCR-Mageuzi) 997 na Dotto Jasson Bahemu (ACT Wazalendo)
440. Jimbo la Msalala: Ezekiel Maige (CCM) 36,010, Paulo
Malaika(Chadema) 20, 124, Marco Suwa (ACT Wazalendo) 672 na Abeid Ibeshi
(UDP) 251.
Jimbo la Busega: Dk Raphael Chegeni (CCM) 40,977, David William (Chadema) 26,995 na Zangi Robart (UDP) 802.
Jimbo la Mbogwe: Augustino Masele (CCM) 32,921, Nicodemus Maganga (Chadema) 13,975 na Andrew Mnuke (ACT Wazalendo) 5,464.
Jimbo la Bukombe: Dotto Biteko (CCM) 47,147, Profesa Kulikoyela Kahigi (Chadema) 29,929 na Dick Bagamba (ACT Wazalendo) 1,673.
Jimbo la Babati Mjini: Pauline Gekul (Chadema) 21,970 na Kisyeri Chambiri (CCM) 16,434.
Jimbo la Kahama Mjini: Jumanne Kishimba (CCM) 47,553, James Lembeli (Chadema) 30,122 na Bobson Wambura (ACT Wazalendo) 605.
Jimbo
la Kibaha Mjini: Silvestry Koka (CCM) 31,462, Paul Mtally (Chadema)
24,860, Habibu Mchange (ACT Wazalendo) 3,438, Gombati Waziri (CCK) 259,
Betha Mpata (APPT), 120 na Kibona Ally (AFP) 108.
Jimbo la Geita Mjini: Kanyasu John (CCM) 34, 953, Rogers Ruhega (Chadema) 26, 303 na Malebo Michael (CUF) 625.
Jimbo
la Mkinga: Dustan Kitandula (CCM) 21,623, Bakari Kassimu (CUF) 13, 547,
Rachel Sadick (Chadema) 3,789 na Ali Mwita (ACT Wazalendo) 402.
Jimbo la Lindi Mjini:Selemani Kaunje (CCM) 20,733 na Salum Barwany (CUF) 18, 843
Jimbo
la Same Mashariki: Naghenjwa Livingstone Kaboyoka wa Chadema,
amemshinda Anne Kilango Malecela kwa jumla ya kura 18836, dhidi ya kura
15539.
Updates: Mgombea Ubunge Jimbo la Mwanga Prof. Jumanne Maghembe wa CCM ameibuka kidedea na kutetea kiti chake cha Ubunge -Amembwaga Henry Kileo wa CHADEMA
Updates: Wilfred Lwakatare (Chadema) kapata kura 28, 112 na kumshinda Balozi Khamis Kagasheki (CCM) aliyepata kura 25, 565 Updates:Jimbo
la Vunjo, Kilimanjaro; Mgombea wa NCCR Ndg. James Mbatia, ameshinda
kiti cha Ubunge kwa kuzoa kura 60,187 akifuatiwa kwa mbali na mgombea wa
CCM Innocent Melleck Shirima aliyeambulia kura 16,097.
Updates:Jimbo
la Moshi Vijijini, Kilimanjaro; Mgombea wa CHADEMA Anthony Calist Komu
ameshinda kiti cha Ubunge kwa kuzoa jumla ya kura 55,813, akifuatiwa kwa
mbali na mgombea wa CCM Dr. Cyril Chami ambaye pia alishawahi kuwa
Waziri Viwanda na Biashara aliyepata kura 24,415.
Updates:Jimbo
la Nyamagana, Mwanza: Mgombea wa CCM, Mabula Stanslaus Shing'oma
ameshinda kwa kuzoa kura 81,017, akifuatiwa kwa karibu na Ezekiel Wenje
wa CHADEMA aliyeambulia kura 79,280.
==>CCM pia imeshinda Kata
14 kati ya 18 za udiwani katika Jimbo la Nyamagana huku Chadema
kikiambulia Kata Nne, hivyo CCM itaunda Halmashauri ya Nyamagana.
Updates:Jimbo
la Tarime vijijini, mkoani Mara: Mgombea wa CHADEMA, Heche John Wegesa
ameibuka kidedea kwa kupata kura 47,249, huku akifuatiwa kwa karibu na
Kangoye Christopher Ryoba wa CCM aliyepata kura 42325.
Updates:Jimbo
la Chato, mkoani Geita: Mgombea wa CCM, Dr. Kalemani Matogolo Medard
ameibuka mshindi kwa kupata kura 78,817 akifuatiwa na Lukanima Benedicto
Kulwizira wa CHADEMA aliyepata kura 32,513.
Updates:Mgombea wa
CCM katika jimbo la Ilala, jijini Dar es salaam, Azzan Mussa Zungu
ameibuka kidedea kwa kupata kura 35,818 dhidi ya kura 32,533 za Muslim
Haiderali Hassanali wa CHADEMA
Update: Mgombea ubunge jimbo
la Kasulu mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Moses Machali amepoteza
jimbo hilo, ameshindwa na Mgombea wa CCM Daniel Sanze. -Amepata kura 22,512 na mshindi Daniel wa CCM amepata kura 25,336
Updates:Matokeo ya ubunge Iringa Mjini kutangazwa kesho baada ya kuchelewa kupatikana kwa matokeo ya kituo cha Kata ya Ruaha.
Updates:Jimbo
la Sumbawanga Mjini: Aeshi Hilaly wa CCM, ameshinda kwa jumla ya kura
41763, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Ikuwo Malila wa Chadema,
aliyepata kura 36183.
Updates:Joram Hongoli wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) atangazwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe kwa kupata
jumla ya kura 20,430 na kumwangusha mpinzani wake toka Chama cha
Demokrasia na Maendeleo Edwin Swalle aliyepata jumla ya kura 10407
Updates:
Jimbo la Mchinga: Hassan Bobali wa CUF, ameshinda kwa jumla ya kura
14776, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Saidi Mtanda wa CCM, aliyepata
kura 13665
Updates:Jimbo la Singida Magharibi: Kingwi
Immanuel wa CCM, ameshinda kwa jumla ya kura 25102, dhidi ya mpinzani
wake wa karibu Allute Mdinka wa Chadema, aliyepata kura 13480
Updates:Jimbo
la Singida Mashariki: Tundu Lissu wa Chadema, ameshinda kwa jumla ya
kura 25010, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Jonathan Njau wa CCM,
aliyepata kura 18614.
Updates: Jimbo la Singida Mjini: Mussa
Sima wa CCM, ameshinda kwa jumla ya kura 36690, dhidi ya mpinzani wake
wa karibu Mgana Msindai wa Chadema, aliyepata kura 16702 Updates:Wiliiam
Lukuvi ametangazwa kuwa mshindi kwa kiti cha Ubunge toka tiketi ya
Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ismani, mkoani Iringa kwa kuwa na
jumla ya kura 26,119 na mpinzani wake Patrick Sosopi wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushindwa kwa kupata jumla ya kura
15,534
Updates:Jimbo la Mtama: Nape Nnauye wa CCM, ameshinda kwa
jumla ya kura 28110, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Suleiman Luwongo
wa Chadema, aliyepata kura 13918 Updates: Cecil Mwambe wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) apata kiti cha Ubunge katika Jimbo la
Ndanda mkoani Mtwara kwa kuwa na kura 26,247, huku Mariam Kasembe wa
Chama cha Mapinduzi kukikosa kiti hiko kwa kupata kura 26,215
Updates:Jimbo
la Same Magharibi: Dkt. David Mathayo wa CCM, ameshinda kwa jumla ya
kura 21418, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Christopher Sangweli wa
Chadema, aliyepata kura 15347
Updates: Jimbo la Same
Mashariki:Naghenjwa Livingstone Kaboyoka wa Chadema, amembwaga Anne
Kilango Malecela kwa jumla ya kura 18836, dhidi ya kura 15539 Updates:Jimbo
la Ilemela jijini Mwanza Angelina Mabula wa chama cha Mapinduzi CCM
ameshinda kwa kura za Ubunge, huku Hainess Kiwia kutoka Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameshindwa kukitetea kiti chake
Updates:Mtwara
mjini Maftah Nachuma wa Chama cha CUF ameshinda kwa kura za Ubunge,
huku Asnain Murji kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ameshindwa kukitetea
kiti chake
Updates:Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, Freeman
Mbowe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) atangazwa kuwa
Mbunge kwa kupata jumla ya kura 51,124, huku mgombea kwa tiketi ya Chama
cha Mapinduzi Danstan Mallya apata jumla ya kura 26,966.
Updates:Jimbo
la Mbeya Mjini: Joseph Mbilinyi wa Chadema, ameibuka mshindi kwa jumla
ya kura 97675, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Mwalyengo Shitambala wa
CCM, aliyepata kura 46894
Updates:Jimbo la Kigoma Mjini:
Zitto Kabwe wa ACT-Wazalendo, aibuka mshindi kwa jumla ya kura 31546,
dhidi ya mpinzani wake wa karibu Amani Kaburou wa CCM, aliyepata kura
16344
Updates:Jimbo la Iramba Magharibi: Mwigulu Nchemba wa CCM,
aibuka mshindi kwa jumla ya kura 54660, dhidi ya mpinzani wake wa karibu
Jesca Kishoa wa Chadema aliyepata kura 12580
Updates:Jimbo la
Ileje: Janet Mbene wa CCM, aibuka mshindi kwa jumla ya kura 27582, dhidi
ya mpinzani wake wa karibu Emmanuel Mbuba wa NCCR-Mageuzi, aliyepata
kura 14578
Updates:Jimbo la Mpanda Mjini: Sebastian Kapufi wa
CCM, aibuka mshindi kwa jumla ya kura 29193, dhidi ya mpinzani wake wa
karibu wa Chadema Jonas Kalinde, aliyepata kura 18649
Update:
Anthony Mavunde (CCM) ametangazwa kuwa mshindi wa ubunge Jimbo la
Dodoma Mjini, Joram Hongoli (CCM) akishinda Jimbo la Njombe Kaskazini.
Upadate: Jumanne Kishimba (CCM) ameshinda Jimbo la Kahama Mjini, Steven Masele ameshinda Jimbo la Shinyanga Mjini.
Update: Hussein Bashe ameshinda Jimbo la Nzega Mjini na Silvestry Koka ameshinda Jimbo la Kibaha Mjini
Jimbo la Serengeti Marwa
Ryoba (Chadema) amengazwa kuwa mshindi kwa kiti cha Ubunge kupitia
tiketi ya Chadema katika jimbo la Serengeti.Jimbo hilo lilikuwa chini ya
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Stephen Kebwe Jimbo la Chalinze Ridhiwani
Kikwete wa CCM, aibuka mshindi katika Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani
kwa jumla ya kura 52695, dhidi ya Mang’unda Torongei wa Chadema
aliyepata kura 23470
Jimbo la Moshi Mjini Japhary Michael wa Chadema ameshinda kwa kura-51647, huku mpinzani wake Davies Mosha wa CCM akipata kura-26920
Jimbo la Bunda Wassira aangushwa! Ni baada ya Esther Bulaya wa Chadema kuchukua Jimbo la Bunda KWA KURA 26207, huku Wassira kupata kura 17573.
Jimbo la Peramiho Mgombea Ubunge wa Jimbo la Peremiho kwa tiketi ya CCM , Jenister Mhagama ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo Jimbo La Arumeru Mashariki Mgombea Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chadema , Joshua Nassari ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo
Nassari ameshinda kwa kura 86694, na mpinzani wake wa karibu John Pallangyo wa CCM amepata kura-31847
Jimbo la Shinyanga Mgombea
ubunge wa Chadema jimbo Shinyanga Patrobas Katambi amegoma kuendelea
kusikiliza kutangazwa kwa matokeo na msimamizi wa uchaguzi Kalinjuna
Lewis, kwa madai kuwa hana imani na matokeo hayo na kuamua kutoka
ukumbini na wapambe wake wakati matokeo ya kila kituo yakiendelea
kusomwa. Hadi sasa bado hajatangazwa mshindi Jimbo la Tandahimba Katika
jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara, Katani Ahmed Katani wa CUF ameshinda
kiti cha ubunge kwa kura-55156, huku mpinzani wake mkubwa wa CCM,
Shaibu Salimu Likumbo akipata kura-41088
Jimbo la Mbinga Mjini Mgombea wa Ubunge kupitia CCM jimbo la Mbinga Mjini Sixtus Mapunda ameshinda na kutangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo
Jimbo la Musoma Mjini Ubunge: Vicent Nyerere(Chadema) 25,549 na Vedastus Mathayo(CCM) 32,836.
Mgombea wa Ubunge kupitia CCM jimbo la Musoma Mjini Vedastus Mathayo ameshinda na kutangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo
Jimbo la Mbinga Vijijini Mgombea wa Ubunge kupitia CCM jimbo la Mbinga Vijijini Martin Msuha ameshinda na kutangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo
Jimbo la Monduli Ubunge: Julius Kalanga (Chadema) 35,024 na Namelock Sokoine (CCM) 25,925.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Monduli, Ndugu Julius Kalanga ametangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo Jimbo la Siha Ubunge: Dk Godwin Mollel (Chadema) 22,746 na Aggrey Mwanry (CCM) 18,584.
Msimamizi
wa Uchaguzi, Rashid Kitambulio amemtangaza Dk Mollel kuwa mshindi wa
jimbo hilo ambalo mbunge wake alikuwa ni Aggrey Mwanry (CCM).
Jimbo la Tunduma Ubunge:
Mwakajoka Frank (Chadema) 32,442, Frank Sichalwe (CCM) 17,220, James
Mwakalonge(TLP) 85, Reddy Makuba (ACT Wazalendo) , 319.
Msimamizi wa uchaguzi ambaye ni mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Tunduma, Halima Mpita ametangaza matokeo hayo. Jimbo Buyungu Ubunge: Bilago Samson Chadema), 23,041 na Christopher Chiza(CCM) 22,934
Mgombea ubunge wa Chadema Bilago Samson amefanikiwa kunyakua Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma kwa kura 23041.
Jimbo hilo lilikuwa chini ya CCM kupitia Waziri Christopher Chiza aliyepata kura 22934. Msimamizi wa uchaguzi ambaye ni mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Kakonko, Jaina Msangi ametangaza matokeo hayo
Jimbo la Tarime Mjini Ubunge: Ester Matiko(Chadema) 20,017, Michael Kembaki(CCM), 14, 025, Deogratias Meck(ACT-Wazalendo) 356. Msimamizi
mkuu wa Uchaguzi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Juma
Mwajombe amemtangaza Matiko kuwa mshindi katika Jimbo hilo
Jimbo la Lindi Mjini Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Lindi Mjini, Ndugu Hassan Suleiman Kaunje ametangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo
[Intro] Nahreel! Olele Olele The industry Olele Olele [Hook] Nusu saa ya mshale, nusu suruale Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale (Olele Olele) Nusu saa ya mshale (Olele) Nusu Bob Marley (Olele) Niruhusu nisimame (Olele) Nikuruhusu ulale (Olele) [Verse 1] Eh! Eh! Agizia kina Ritha Margarita Usijifanye kama hujui kilichotuleta Mawaidha kwenye parle hapana kuleta Ila kama una maombi leta later Njaa tulishaikimbiza makilometa Logo ni NYEUSI na inameta meta Wakati wanajiuliza kupata punchline Ninafululiza kufanya hit songs Huku nikidunduliza so money long Na bado sijamaliza so the party is on! Michongo inawakimbiza usione wako hoi Usongo umenipitiliza Sherehe zikianzia Arusha kuelekea Ibiza (weeee!) Vunja nazi navunja maviza Nachana maanga, napasua giza (weeee!) Mi ni nuru sio wale ni kiza Makini na Jesus so bump the cheese up Wewe! (wewee bump the cheese up!) [Hook] Olele! Nusu saa ya mshale, nusu suruale Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale (Olele Olele) Nusu saa ya mshale (Olele) Nusu Bob Marley (Olele) Niruhusu nisimame (Olele) Nikuruhusu ulale (Olele) [Verse 2] Brand kubwa sio kitoto Na shoo ni cash sio mikopo Najenga nchi sitoi boko Sirikali mbwa koko Tokea uswazi siachi ukoko Olele Tokea mageto huu ndo mtoko Matendo sina ropo ropo You know we do this for the people Siwapi kichupa wape kopooo X whatever mabinti hamsha popo DJ, nasikia rushwa inakarabati kila sekta Chalii ya Arusha narusha tu kila bakta Na mambo ya maana tukumbuke tukila bata Na ka ni mambo ya kimsingi mi ni renter Na ka ni mambo ya kipimbi mnaleta Mtoto mkali mkibetua nambenta Na kesho morning ndo mtagundua ilikuwa penta Makoromeo yanaita ni kiu Na kauli mbiu leo ni kutii (Olele) Bendera hewani simamisha mlingoti (Olele) Watu mtu kati ukutii hunikuti sikutii Nakutia adabu (TIA ADABU!) [Hook] Nusu saa ya mshale, nusu suruale Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale (Olele Olele) Nusu saa ya mshale (Olele) Nusu Bob Marley (Olele) Niruhusu nisimame (Olele) Nikuruhusu ulale (Olele) Nusu saa ya mshale (Olele) Nusu Bob Marley (Olele) Niruhusu nisimame (Olele) Nikuruhusu ulale (Olele) Nusu saa ya mshale (Olele) Nusu Bob Marley (Olele) Niruhusu nisimame (Olele) Nikuruhusu ulale (Olele)
Ile
tv series maarufu nchini Marekani Empire imerudi tena kwa msimu wa pili
kwa kishindo kikubwa .Series hiyo yenye waigizaji nguli akiwemo Taraji P
Henson maarufu kama Cockie pamoja na Terece Howard . Msimu wa pili
umeanza tarehe 23 mwezi wa 9 mwaka 2015 ambapo imepata ratings za
watazamaji million 16 kwa usiku mmoja pekee na kuifanya kuwa series
ambayo imetazamwa na watu wengi sana mwaka huu.
Yafahamu mambo 10 yanayoweza kuharibu Ubongo wa binadamu
Ubongo ndio ikulu yako, huratibu na kusimamia kazi zote za mwili wako ikiwa ni pamoja na kuongea, kufikiri na kuvumbua vitu vipya. Watu wengi wanafanikiwa kiuchumi kwa kutumia vizuri ubongo wao ili uwaletee maendeleo.
Kwa kutambua umuhimu wa ubongo katika maisha yetu wasomaji wa FikraPevu hatuna budi kutambua mazoea kumi yanayoharibu ubongo wetu bila ya sisi kujua.
Kukosa mlo wa asubuhi
Watu wasio pata kifungua kinywa chenye lishe aina ya wanga na protini wanaweza kupatwa na upungufu wa sukari kwenye damu. Hali hii inasababisha ubongo kutopata virutubisho vya kutosha na kufanya ubongo kuanza kuharibika. Aidha, kukosa mlo wa asubuhi kunasababisha matatizo mengi ya kiafya yakiwa pamoja na kupanda kwa shinikizo la damu, kunenepa kupita kiasi na mpangilio mbovu wa mafuta katika damu.
Kukosa mlo wa asubuhi kunaufanya mwili ukae katika hali ya mkazo kwa kukaa njaa muda mrefu kwa sababu inapokuwa asubuhi unakuwa na shughuli nyingi na mwili unahitaji nguvu za kutosha, hivyo kukosa kifungua kinywa kizito kunaharibu utendaji wa kimetaboliki wa mwili na kusababisha hali za hatari kwa afya ya mtu.
Kula kupita kiasi
Mwili hutumia kalori zinazopatikana katika vyakula, kwa ajili ya
utendaji wa misuli, ogani, tishu na seli. Kila mtu anahitaji kiwango
chake cha kalori kwa kutegemea umri, jinsia, kimo, uzito wake wa sasa na
aina ya kazi anayofanya. Kula kupita kiasi kunasababisha ateri za
ubongo (mishipa ya damu iliyosheheni hewa ya oksijeni ambayo hutoa damu
kwenye moyo na kuisafirisha kwenye ubongo) kuwa migumu hadi kupelekea
kupungua nguvu ya akili.
Aidha, kalori za ziada huhifadhiwa kama mafuta kwa matumizi ya baadae
ingawa watu wengi hawatumii kalori hizo za ziada na kusababisha unene na
kuzidi uzito.
Uvutaji tumbaku
Uvutaji husababisha kusinyaa kwa ubongo kitu kinachoweza sababisha
ugonjwa wa Alzheimer/Alzeima pia hujulikana kama udhaifu wa kiakili
utokanao na uzee wa aina ya Alzeima. Ugonjwa huu usiotibika husababisha
kupoteza kumbukumbu haraka zaidi. Wanasayansi wanadai kuna zaidi ya
mchanganyiko wa kemikali 4,000 katika sigara.
Kemikali za aina nyingi zina athari mbaya katika seli zetu, baadhi
zinasababisha saratani na kufa kwa seli, hivyo uvutaji sigara unaweza
kuua seli za ubongo pia.
Matumizi ya sukari kwa wingi
Ulaji wa sukari kwa wingi mfano vyakula vyenye sukari kama soda na
juisi za viwandani unaingilia ufyonzaji wa protini na virutubisho
vingine na kusababisha utapiamlo unaoweza haribu ukuaji wa ubongo. Ulaji
wa sukari kwa wingi katika mlo wako hakuta kuongezea tu uzito, bali
utasababisha athari hasi kwenye afya ya mwili wako.
Mfumo wa ulinzi wa mwili wako ndio njia muhimu ya kuulinda mwili wa
binadamu. Kutumia sukari kwa wingi kuna athiri utendaji wa mfumo huu na
kupunguza uwezo wa kupambana na virusi, bakteria na vimelea vingine
ambavyo vinaweza kuathiri ubongo pia.
Kuufanyisha ubongo kazi wakati unaumwa
Ubongo ni moja ya ogani tata ya mwanadamu ikiwa na uwezo mdogo wa
kujifanyiza. Ubongo ni rahisi kuathiriwa na ugonjwa. Kupoteza au
kuharibika kwa mtandao wa seli za ubongo kunaweza sababisha athari kubwa
katika ubongo hasa ukilazimisha ubongo kufanya kazi wakati unaumwa.
Kufanya kazi sana au kusoma sana huku unaumwa kunaweza kupunguza ufanisi
wa ubongo pamoja na kuharibu ubongo.
Uchafuzi wa hewa
Ubongo ndio kiungo kikubwa kinachotumia hewa ya oksijeni katika mwili
wako. Kuvuta hewa chafu kunapunguza usambazaji wa oksijeni katika ubongo
na kusababisha kupungua kwa ufanisi wa ubongo. Kukaa sehemu yenye hewa
nzuri kama mlimani au ufukwe mzuri kunaweza kupumzisha ubongo na
kuuimarisha.
Kutosinzia vya kutosha
Kusinzia kunaruhusu ubongo kupumzika. Kujinyima usingizi wa kutosha kwa
muda mrefu kutaongeza kasi ya kufa kwa seli za ubongo. Watoto wachanga
wa chini ya umri wa mwaka mmoja wanapaswa kulala kwa kati ya saa 16 na
18 kwa siku, wakati wenye umri wa kuanzia mwaka mmoja hadi mitatu
wanahitaji saa 14.
Watoto wenye umri wa miaka mitatu hadi minne wanahitaji kulala walau
kati ya saa 11 na 12, wakati wenye umri wa kwenda shule, kwa maana ya
miaka sita na saba, wanahitaji walau usingizi wa saa 10 kila siku, huku
vijana wenye umri wa balehe na watu wazima wanashauriwa wapate usingizi
wa kati ya saa saba na nane.
Kufunika kichwa wakati umelala
Kulala huku umefunika kichwa mfano kwa wanawake wanaovaa kofia maalumu
ili zisiharibu nywele walizosuka au kutengeneza kunaongeza msongamano wa
hewa chafu ya kabonidioxide (dioksidi ya kaboni) na kupunguza oksijeni kitu kinachoathiri ubongo.
Kukosa fikra chanya
Kuwa na fikra pevu ndio njia bora ya kuufunza ubongo wako, kukosa fikra chanya kunaweza kufanya ubongo kudhorota.
Kuzungumza kwa nadra
Mazungumzo yenye busara yatachochea ufanisi wa ubongo wako. Ni vyema
kutoa dukuduku lako kwa kuzungumza kila mara unapohisi kuwa unalo
kwasababu linaweza kuathiri afya yako kiujumla.
Oscar Pistorius released a day early to finish sentence under house arrest
The Paralympian, found guilty of culpable homicide of Reeva
Steenkamp, will live at uncle’s house – but faces further legal action
from prosecution team
The house were Oscar Pistorius will serve the rest of his sentence.
Photograph: Greatstock / Barcroft Media/Greatstock / Barcroft Media
Oscar Pistorius
has been released from prison and will serve the remainder of his
sentence under house arrest at his uncle’s house, less than one year
into a five-year sentence for shooting dead his girlfriend Reeva
Steenkamp.
Pistorius’s family had been expecting his release on Tuesday morning, but late on Monday night his lawyer said the former Paralympian was already at his uncle’s house.
He is expected to remain under correctional supervision, or house
arrest, until 2019, pending the outcome of an appeal by prosecutors that
could yet see him returned to jail.
The Pistorius family said in a statement read by spokesperson
Anneliese Burgess on Tuesday morning that the athlete was still serving
his sentence for Steenkamp’s death.
“It is very important for the family to emphasise that Oscar’s
sentences hasn’t been shortened or reduced. He’s simply entering the
next phase of his sentence now. He will serve this under the strict
conditions that govern correctional supervision.
“The family will support Oscar as he serves out the remainder of the
five year sentence handed down by the trial judge, and he will strictly
adhere to the conditions set by the parole board and community
corrections.”
Oscar Pistorius’s family are delighted he is home, says spokeswoman Anneliese Burgess
The Steenkamp family’s spokesperson Tanya Coen said: “To them it does
not matter whether he was released yesterday, a few hours earlier or a
few hours later, whether he remains incarcerated or not. It makes no
difference to their lives because Reeva is still not coming back.”
The former athlete was convicted last year of culpable homicide after
he shot dead Steenkamp at his house in Pretoria. Pistorius maintained
that he had mistaken her for an intruder, and the court accepted his argument that he had not intended to kill her.
The state has challenged
Judge Thokozile Masipa’s original verdict of culpable homicide, and the
supreme court of appeals (SCA) will hear that appeal on 3 November.
Prosecutors argue that Pistorius should have been convicted of murder,
which carries a minimum sentence of 15 years.
Oscar Pistorius: what happens now that he’s been released?
Late on Monday night, Pistorius was taken from his cell to the
residence of his uncle, Arnold Pistorius, in Waterkloof, an upmarket
Pretoria suburb. The house is a three-storey converted Dutch Reformed
church on a luxury estate, and has a swimming pool.
Manelisi Wolela, a spokesperson for the department of correctional
services, confirmed that Pistorius had been released at 7.30pm on
Monday.
Television news crews outside Oscar Pistorius’ uncle’s house in
Waterkloof, Pretoria. Photograph: Greatstock / Barcroft Media/Greatstock
/ Barcroft Media
The decision to move him from the prison a day early – to avoid a
media circus on Tuesday morning – was made by the management of Kgosi
Mampuru II prison, the department of correctional services said in a
statement. “Oscar Pistorius was placed under correctional supervision
tonight. The handling of the actual placement is an operational matter
of the local management, and how they handle it is their prerogative
that is carried out in the best interest of all parties concerned, the
victims, the offender and the department of correctional services.”
Correctional services minister Michael Masutha had told local
broadcaster eNCA that the terms of Pistorius’s release included a
requirement to meet with Steenkamp’s parents, if and when they agree to
such a meeting. “It is especially the person who is the source of your
pain, who making peace with is likely to bring the greatest healing,”
said Masutha. Pistorius will also have to undertake community service
and attend regular psychotherapy sessions.
According to eNCA journalist Karyn Maughan, lawyers for the Steenkamp
family indicated that they were willing to meet with Pistorius, but
only “at the right time” and away from the public eye.
In June, a parole board told Pistorius he would be released on 20 August, only for this decision to be suspended by the government following public outcry.
A judicial review panel subsequently overturned it on a technicality.
Pistorius was granted a second parole hearing last week, which set the
20 October release date.
Reeva Steenkamp’s family give their reaction, speaking through their lawyer
Pistorius’s family had been concerned that his parole might be cut
short by further legal action. The Pistorius’s early release from prison
has been criticised by women’s groups in South Africa,
including the ANC Women’s League, who said they were “disappointed” by
the decision. “We pin our hopes on the SCA to repeal the judgment and
that Oscar must serve a sentence that would bring him back a changed man
and an advocate for women’s rights in future,” it said in a statement.
comments (439)