Kila familia hapa chini imepewa kazi yake
ya kuumaliza Ulimwengu kutoka utawala wa Mungu hadi utawala wao wa NEW
WORLD ORDER "NWO", na hizi ndo familia zinazo control dunia nzima yaani
wamejivisha umungu mtu, na hizi familia hazijaanza leo wala jana
zimeanzishwa kabla hata Yesu na Mtume Muhammad S.A.W na huu ndio
mwendelezo wake.
Hawa ndio wenye uwezo wa kufanya Mtanzania aishi chini ya Dolla 100 au 1, kutokana na Mipango yao ya New World Order, kwenye nchi yako umefikia wapi? Wenzetu South Africa walishakubali kitambo kwa shinikizo la makaburu ndio maana unaona maisha kwao ni mepesi, bahati nzuri nimefanikiwa kukaa South, kiufupi ndio Nchi iliyoendelea kwa Africa lakini ndio Nchi inayoongoza Maovu na Laana ambayo kwa niliyo yaona mimi hayasimuliki.
Unaweza kuyasachi haya majina ya familia 13 za Illuminati;
![[IMG]](http://www.bibliotecapleyades.net/imagenes_sociopol/esp_so1x.jpg)
Kwenye Dolla ya Marekani imeandikwa In God We Trust hii ndio Maana kamili;
Nipeni Ushirikiano nimwage Mchele Mwingine..

- The Astor Bloodline
- The Bundy Bloodline
- The Collins Bloodline
- The DuPont Bloodline
- The Freeman Bloodline
- The Kennedy Bloodline
- The Li Bloodline
- The Onassis Bloodline
- The Reynolds Bloodline
- The Rockefeller Bloodline
- The Rothschild Bloodline
- The Russell Bloodline
![[IMG]](http://www.bibliotecapleyades.net/imagenes_sociopol/esp_so1x.jpg)
Kwenye Dolla ya Marekani imeandikwa In God We Trust hii ndio Maana kamili;
![[IMG]](http://ic.pics.livejournal.com/herok_toporik/26582183/97082/97082_640.jpg)
Nipeni Ushirikiano nimwage Mchele Mwingine..
No comments:
Post a Comment